Monday, April 4, 2016

VUMILIA LYRICS BY BOSS M.O.G FT. SIZE 8kwa macho nikikuona ,kwa nje wapendeza,
umejipodoa na make ups,you look so fine,
unakaa waumia,moyoni wateseka,
walia ah,umenitunza jipodoa,
na sasa nimeshagundua,nahisi kujiua,

(we oh x2) ,vumilia mama,(we ohx2)
zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)
unajua mungu hapendi utengano ,(we oh x2) 
mapenzi safari,

naenda x2 ,sitaki balaa,
naenda x2,sitaki noma na yeye,

husiache kwako wana wanakuhitaji,
(no no x2)
na watoto wataniuliza vipi mummy katoroka,
kama ningemnyima penzi,
angeniita mchoyo,muumba wangu moyo,
atavuna kibogoyo,

(we oh x2),vumilia baba ,(we oh x2), 
zidi kuwombea atabadilika,(we oh x2)
unajua mungu hapendi utengano (we oh x2)
mapenzi safari 

naenda x2,sitaki balaa,
naenda x2,sitaki noma na yeye,
husiache wako wanakuhitaji,
(no no x2)

unajua mama bwana wako ,
ukufanya husijihisi wa dhamana,
kwa kukutesa sanax2, 
kila unayo malazi mwenye dawa ni mola,
so inabidi uvumilivu iwe dawa yako,
husiwe wa kasi kuondoka mama,
husiwe mwepesi wa hasira mama,

(we oh x2) ,vumilia mama,(we oh x2)
zidi kumwombea atabadilika (we oh x2)
unajua mungu hapendi utengano ,(we oh x2) 
mapenzi safari,

mungu akikutazama nini atajivunia
ukifanya utengano ambalo analichukia,
sawa narudi,narudi sitavunja ndoa,
sawa narudi,narudi  nitamwomba mola,
husiyesamehe,rudi nyumbani,(vumiliax3)
narejea,narudi nyumbani,x2 (vumilia x3)

No comments: