Wednesday, August 10, 2016

SAUTI LYRICS BY REUBEN KIGAME


Sauti yake bwana,yapendeza mno,
tamu zaidi ya asali,imejaa utukufu,
utetemesha nchi,kadhalika misitu na mito,
imejaa angano ayala uwazalisha,

sauti yake bwana utuliza roho yangu,
nikichanganyikiwa,sauti uniongoza,
hekaluni mwa bwana ,sifa utukufu,
ni ye mfalme milele,nitaimba sifa zake

utetemesha nchi,kadhalika misitu na mito,
imejaa angano ayala uwazalisha,
hekaluni mwa bwana ,sifa utukufu,
ni ye mfalme milele,nitaimba sifa zake

No comments: