Wednesday, August 10, 2016

BWANA VUTA LYRICS BY REUBEN KIGAME

ni kwako bwana,nimesikia sauti ya mapenzi,
nivute bwan ,kwa yako imani,nizidi kusongea,

bwana vuta,vuta ,nije nisongee,kwako msalabani,
bwana vuta,vuta ,nije nisongee,kwa damu ya dhamani,

nitakase nikutumikie,kwa nguvu za neema,
roho yangu ikutumaini,nitendee upendavyo,

bwana vuta,vuta ,nije nisongee,kwako msalabani,
bwana vuta,vuta ,nije nisongee,kwa damu ya dhamani,
No comments: