Tuesday, August 9, 2016

HERI SIKU MOJA LYRICS AND TRANSLATION BY REUBEN KIGAME

Ewe Mungu wa majeshi,
(oh lord of lords)
ninapenda kukaa nawe,
(i have loved to be with you)
maskani zako zapendeza,
(your home is beautiful )
nazikondea kwa shauku kubwa.
(i would like to dwell there)
Heri siku moja mbele zako,
(its better one day with you )
kuliko siku elfu mbali na wewe
(than a thousand days without you)

Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
(you are my provider i will love you forever)

Moyo na mwili wangu
(my body and heart)
Bwana vyakulilia Mungu wangu,
(we are looking for you,my God)
heri nikose vyote Baba,
(its better i lack everything)
lakini nikupate wewe
(and be with you)
Heri siku moja mbele zako,
(its better one day with you )
kuliko siku elfu mbali na wewe
(than a thousand days without you)
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
(you are my provider i will love you forever)

Heri siku moja mbele zako,
(its better one day with you )
kuliko siku elfu mbali na wewe
(than a thousand days without you)
Ee Bwana nguvu na msaada wangu nitakupenda daima.
(you are my provider i will love you forever)No comments: