Tuesday, August 9, 2016

NI WEWE LYRICS BY ANGEL BENARDNimetoka mbali hadi hapa nilipo,
si kazi rahisi eh,si kazi rahisi,
nikitafakari hivi nilivyo,
haikuwa rahisi eh haikuwa rahisi,
pamoja na ungumu ,mungu ulinishikilia,
nisirudi nyuma oh eh,
si kuhofu nilidumu,huku ukinishikilia,
nisikate tamaa,eh ,mungu wewe.

wewe ,umekuwa ushindi wangu,
wewe umekuwa tumaini langu,
wewe umekuwa ushindi wangu,
wewe ,wewe,wewe,

ukatengua mitego,ukanifanyia wigo,
ukaondoa mapigo yangu yote,x2

pamoja na ungumu ,mungu ulinishikilia,
nisirudi nyuma oh eh,
si kuhofu nilidumu,huku ukinishikilia,
nisikate tamaa,eh ,mungu wewe.

wewe ,umekuwa ushindi wangu,
wewe umekuwa tumaini langu,
wewe umekuwa ushindi wangu,
wewe ,wewe,wewe,


No comments: