Monday, August 1, 2016

USHUHUDA LYRICS BY NICAH THE QUEEN


La la la la la la, la la la lalala eeeii eeeh
Raha balaa, sina hata pa kukaa
Kisa na maana, mapato yangu ndio balaa
Nikawaomba hao, wanipe hata mbao
Wakaniita omba omba, kwani nina mikosi gani


 (PRE-CHORUS)
Lakini nishabonga naye, hesabu nishafanya naye
Hauwezi niangushia wee, atageuzaa ×2


  (CHORUS)
Ushuhudaa, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaa, nishuhudie, Mungu geuza
Ushuhuda, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaaa, nishuhudie

Matamanio yanguu, iwe heri na mimi
Na jaribio languu, iwe sawa na wewe
Huwenda nikakosa ata loana
Nikakosa ata labda, nikakosa ata rada
Si siri inaumizaga


  (PRE-CHORUS)
Lakini nishabonga naye, hesabu nishafanya naye
Hauwezi niangushia wee, atageuzaa ×2


 (CHORUS)
Ushuhudaa, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaa, nishuhudie, Mungu geuza
Ushuhuda, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaaa, nishuhudie

Dawa kubonga naye,
Kazini bonga naye
Biashara bonga naye
Atageuza
Ndoa yako bonga naye
Watoto bonga naye
Ukikosa bonga naye
Atageuzaa......


 (CHORUS)
Ushuhudaa, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaa, nishuhudie, Mungu geuza
Ushuhuda, ushuhudaaa, atageuza aah
Ushuhudaaa, nishuhudie

Atageuza aaah
Mungu geuza
Atageuza aaah
NishuhudieNo comments: