Monday, July 25, 2016

YOU LIVE ONCE LYRICS BY MERCY MASIKA

Mwanzo wa jambo sio kuu kushinda mwisho,
nilitambaa kisha nikatembea,ah
nimeanguka mara nyingi kisha nikainuka,
yaliyopita yote nayaacha nyuma yangu,
shida zilinitenga,na mengi yalisemwa,
(its not a rehearsal oh,this chance is once,
got live once ,got live once x2)

No comments: