Thursday, April 27, 2017

KITU GANI (REMIX) LYRICS AND TRANSLATION BY CHRISTINA SHUSHO

(Chorus)
Nishike mkono ,mungu wangu (hold my hand my God)
husiniache eh,bwana wangu  (don't leave me ,my lord) x4

kitu gani baba,(what is father?)
kinitenge na wewe,(to isolate me from you)
kitu gani yesu (what is it jesus?)
kinitoe kwa kwako (to take me away from you)
kama ni dhiki (if it is distress )
sikuja na kitu duniani (i came with nothing to the world)
kama ni uchi (if its nakedness)
nalizaliwa uchi (i was born naked)
kama ni njaa (if it is famine)
wengine wanakufa nayo (others are dying of it)

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x2

je ni nini kinitenge nawe (what is it to isolate me from you)
fahari za dunia(worldly riches)
zinitoe kwako  (to take me away from you)
je ni mali(is it properties)
zitanitenga nawe (will isolate me fro you)
je ni cheo ,heshima (is it the rank/position or honor)
vitanitoa kwako (will isolate me fro you)
magari ,ndege (is it cars or planes)
vitanitenga nawe (will isolate me fro you)

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x2

(Chorus)
Nishike mkono ,mungu wangu (hold my hand my God)
husiniache eh,bwana wangu  (don't leave me ,my lord) x4

hakuna cha kunitenga nawe ,(nothing to isolate me from you)
tenga nawe eh yesu ( isolate me from you) x6

No comments: