Wednesday, June 28, 2017

PILI PILI LYRICS BY WILY PAUL


pesa sio kila kitu,alinifunza mama eeh,
heshima ndio kila kitu walishasema wahenga,
ukifuata magari ,utapotea baby weeh,
ukifuata mapeni ,utapotea bey,

Mbona nikwite malaika,
na tabia zako haziambatani?
Mbona nikwite mama yao,
na watoto wako umewatupa,
Mbona nikwite chokoleti,
kadibari flavor kumbe we shubiri.
we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo

mali sio kila kitu,alinifunza mama eh,
mungu ndio kila kitu,nilishika maneno ya mama eeh
mke wangu twapigana,kila siku ya wiki,
unataka mapeni,tulia mungu ataleta,
wanieka machungu,ndani ya moyo wangu eeh
tulia mungu ataleta,tulia eeh,

Mbona nikwite malaika, 
na tabia zako haziambatani?
Mbona nikwite mama yao,
na watoto wako umewatupa,
Mbona nikwite chokoleti,
kadibari flavor kumbe we shubiri.

we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo
we pililpili we ,unaniumiza moyo x2

2 comments:

Thomas said...

Can I get a link to the song please?

dojuma said...

Wow great job i love gospel so much.