Monday, July 3, 2017

SITEKETEI LYRICS BY ANGEL BENARD


Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,
hupimwi kwa siku, hupimwi kwa mwaka,
unatafsiri majira,huzuiwi na muda,
umejawa na nguvu,ndio maana nakuita baba,
moyoni mwangu,najawa sifa,
na ujasiri katika wewe,
hakuna mlima wa kuniangusha,
ndani yako, ninasimama

Mi siteketei,siangamii,
singarikishwi uko nami,x2

nimezungukwa ,nawe kila pande,
hakuna jambo la kuniangamiza
majeshi yaliyo upande wangu,
ni mengi sana kuliko hawa wa dunia
hatua zangu ,zaongozwa nawe,
siangamii ,siteketei,katika wewe ,ninasimama
siteketei,na ninadumu,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,x2

kwako bwana nasimama,ndiwe mwamba ni salama
kwako bwana nasimama,
we daily believe in you,
we shall stand firm forever,

Mi siteketei,siangamii,
sigarikishwi uko nami,x2

6 comments:

Jodrine Mallya said...
This comment has been removed by the author.
Jodrine Mallya said...

Yeap! It's a good work, and i real enjoy this art,i'm blessed, but you have to edit yo lyrics; i think it has to be " HUPIMWI KWA SIKU, HUPIMWI KWA MIAKA " And not " HUKIMWI KWA SIKU".
Thanking you in advance.

Unknown said...

Hi. Is there any bady to help me get english translation of this song.

grace wanjiku said...

I think the lyrics are okay haven't seen error anywhere.. Ama it was edited.

Anonymous said...

Great lyrics real helpful

Tina said...

this is such a lovely song, one of my best artists