Saturday, December 2, 2017

SIMBA WA YUDA LYRICS BY SIZE 8


Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)

na si alinguruma batimayo kipofu akaona
tena akanguruma mama aliyetokwa na damu akapona
you know alinguruma kaburini kifo kikakosa maana
tena akanguruma mr.seed eh nikaona mwanga

so tararara sometimes i just  feel i wanna sing
nanana ananifanya nifeel so good inside

Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)

unauliza atanguruma lini
ati shida zitakwisha lini
ananguruma bora umwamini
njia zake na zetu tofauti
eh alinguruma hekaluni
pazia ikapasuka
alinguruma baharini mawimbi yakapoa
alinguruma pia size 8 pia mi nikaona mwanga
ah alinguruma

so tararara sometimes i just  feel i wanna sing
nanana ananifanya nifeel so good inside

Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)


No comments: