Ni neema
Ni neema
Ni neema
Ni neema
imeniweka hapa
sikustahili
sikustahili
sikustahili
sikustahili
Ni neema
Ni neema
Ni neema
Ni neema
imeniweka hapa
mimi jinsi nilivyo
kila nilichonacho
ni neema
imenipa hayo
uhai uzima wokovu kibali
vyote ni neema
imenipa hivi
kuna mtu alikufa msalabani
kwa ajili yangu
amelipa madeni yote
niliyodaiwa
Ni neema
Ni neema
Ni neema
Ni neema
yake yesu
sikustahili
sikustahili
sikustahili
sikustahili
Ni neema
Ni neema
Ni neema
Ni neema
yake yesu
asante yesu
No comments:
Post a Comment