Kuna upenyo
kwenye anga
malaika wa munguwamefika ,
wanapanda wanashuka
na majibu ya maombi,
wanapanda na wanashuka
Kuna upenyo
kwenye anga
malaika wa mungu wamefika ,
wanapanda wanashuka
na majibu ya maombi,
wanapanda na wanashuka
na majibu yetu
matatizo mengi
hayana suluhu
yesu husiponguruma
na maswali mengi ,hayana majibu
yesu husiponguruma
kuna kesi nyingi
wanahukumiwa bure
yesu husiponguruma
na mateka wengi
hawana mkombozi
yesu husiponguruma
nani kama wewe
jemedari mtatuzi wa matata
kwa wenye mwili
jemedari mtatuzi wa matata
kwa wenye mwili
nani kama wewe
jemedari mtatuzi wa matata
kwa wenye mwili
jemedari mtatuzi wa matata
kwa wenye mwili
nina haja na wewe
simba wa kabila la yudah
nikiwa na wewe
nira zote zimepasuka
nina haja na wewe
simba wa kabila la yudah
nikiwa na wewe
nira zote zimepasuka
Kuna upenyo
kwenye anga
malaika wa mungu wamefika ,
wanapanda wanashuka
na majibu ya maombi,
No comments:
Post a Comment