Friday, January 10, 2025

WAKATI WANGU LYRICS BY EDITH WAIRIMU F.YOUNG QUALIFIERS


Mnnh
wakati wangu ni sasa
wakati wa kubarikiwa ni sasa
wakati wa kuinuliwa ni sasa
wakati wa kujenga tena ni sasa
wakati mungu amesema ni sasa

kuna wale wazee ezekiel anavyosema
wanaokaa malangoni mwa nyumba ya bwana
watungao maovu na mashairi mabaya
wakisema siku ya kujenga nyumba si sasa

nakataa roho ya kizuizi eh
wakati wangu ni sasa
nakataa mshauri mabaya eh
wakati wangu ni sasa
nakataa unabii wa uongo
wakati wangu ni sasa
nakataa roho ya ulaghai mimi
wakati wangu ni sasa

wakati wa kubarikiwa ni sasa
wakati wa kuinuliwa ni sasa
wakati wa kujenga tena ni sasa
wakati mungu amesema ni sasa

watu wanapolia ,uchumi ni baya
pesa nazo hakuna,mimi nitafanikiwa
maana mwenye haki,huishi kwa imani
wakisema siku ya kuinuliwa si sasa
nakataa kupoteza imani eh
wakati wangu ni sasa
nakataa mifumo ya kushindwa mimi
wakati wangu ni sasa
nakataa roho ya umaskini eh
wakati wangu ni sasa
nakataa mimi kuekwa chini
wakati wangu ni sasa

wakati wa kubarikiwa ni sasa
wakati wa kuinuliwa ni sasa
wakati wa kujenga tena ni sasa
wakati mungu amesema ni sasa

ni sasa,nisasa
mungu amesema ni sasa
nakataa roho ya kuchelewa 
wakati wangu ni sasa
nakataa laana ya kizazi eh
wakati wangu ni sasa
nakataa kujithamini chini
wakati wangu ni sasa
nakataa kujiona mnyonge 
wakati wangu ni sasa
nakataaa kushindwa na magonjwa eeh oh
wakati wangu ni sasa
navuja laana za aina
eh wakati wangu ni sasa
nakataa kifo cha mapema la hasha
wakati wangu ni sasa
nakataa roho ya kukataliwa
wakati wangu ni sasa

wakati wa kubarikiwa ni sasa
wakati wa kuinuliwa ni sasa
wakati wa kujenga tena ni sasa
wakati mungu amesema ni sasa

No comments: