Showing posts with label ADAWNAGE BAND. Show all posts
Showing posts with label ADAWNAGE BAND. Show all posts

Monday, May 23, 2016

I LIVE FOR YOU LYRICS BY ADAWNAGE BAND



you, you, you lord x4

verse 1
there are times in my life huwa nimejazwa na woga mwingi,
i don't know where to start,sina fahamu wapi me nianzie,
then am thinking to myself ni nani atakayenituliza,
wewe ni mwanzo tena we mwisho,
we ndiwe ngao yangu ya maisha,

(chorus)
i live for you ,you you lord x4

verse 2
there is days in my life (huwa ninajipata nimeteleza)
anger gets deep inside,inanifanya me nianguke,
then i look into your word ,vile ulivyonipenda mimi,
we ni gai wi munene,nishikilie leo na milele,

(chorus)

verse 3
*God created you to His specification,
His grace is sufficient for this generation,
ombi langu baba ni kuwa katika kila ibada,
nikuabudu,nikushukuru baba,
nipe sifa nikuombe wadhifa,
nikupe sifa nikuombe maarifa,
(yee,i live for oh oh,x2
i live for you lord)x2

(chorus)



Monday, November 30, 2015

TULIZO LYRICS AND TRANSLATION BY ADAWNAGE BAND

Kwa kweli ulinipenda,(truly you loved me)
nikiwa bado sijakujua,(before you knew me)
ukanipa mwana wako ,(you gave out your son)
nisije kwama nikateleza(so that I won’t slip and fail)
ukaniita mwana wako ,(you made me your son)
vidoda vyote ukaviziba(you healed all my wounds)
na sasa niko huru,(am set free now)
 lawama yote ulijitwika,(you took away all the curses)

(refrain)
ni wewe tu, muumba vyote ulinipenda
(you loved me creator of all )
ni wewe tu ,maisha yangu ukafanya mapya,
(you renewed my life)
ni wewe tu,tulizo la moyo wangu,
(you are my heart’s comforter)
ni wewe( [ni wewex2])x2(only you)

verse2
nauliza,ni mnyoshee nani mimi(who will I lift to)
nauliza,nimuabudu nani mimi,(who will I worship)
jehova ,nimenyosha,(mikono),(jehova I lift my hands)
nitakuabudu milele,(to worship you forever)
muweza,unaweza,(you able )
Na hakuna kama wewe,(no one like you)
nauliza(nauliza),(I ask)
nimkimbilie nani mimi(who will I run to),
nauliza( eehx2) nimwogope nani mimi(who should I fear)
masiah  sina haya nitakukimbilia wewe,
(with no shame I will run to you messiah)
kwa maana nimeona ,hakuna kama wewe,
(because I have seen no one like you)
 masiah sina haya ,nitakukimbilia wewe,
(with no shame I will run to you messiah)
kwa maana nimeona ,hakuna kama wewe,
 (because I have seen no one like you)



(refrain)

Verse3
Hakuna x2 ,mwenye penzi kama lako,baba
(no one with such fatherly love)
Hakuna x2 baraka kama zako wewe,
(no other blessings like yours)
Hakuna x2 aliyenifia ila wewe,
(you only who died for me)
Hakuna x2 eeh,eeh    (no one eeh)

Repeat verse 3

(refrain)
Na rehema kama zako wewe,(your mercies)
Na upendo kama wako wewe,(your love)
Eeh eh(eeh)