Kwa kweli ulinipenda,(truly you loved me)
nikiwa bado sijakujua,(before you knew me)
ukanipa mwana wako ,(you gave out your
son)
nisije kwama nikateleza(so that I won’t
slip and fail)
ukaniita mwana wako ,(you made me your
son)
vidoda vyote ukaviziba(you healed all my
wounds)
na sasa niko huru,(am set free now)
lawama yote ulijitwika,(you took away all the curses)
(refrain)
ni wewe tu, muumba vyote ulinipenda
(you loved me creator of all )
ni wewe tu ,maisha yangu ukafanya mapya,
(you renewed my life)
ni wewe tu,tulizo la moyo wangu,
(you are my heart’s comforter)
ni wewe( [ni wewex2])x2(only you)
verse2
nauliza,ni mnyoshee nani mimi(who will I
lift to)
nauliza,nimuabudu nani mimi,(who will I
worship)
jehova ,nimenyosha,(mikono),(jehova I lift
my hands)
nitakuabudu milele,(to worship you forever)
muweza,unaweza,(you able )
Na hakuna kama wewe,(no one like you)
nauliza(nauliza),(I ask)
nimkimbilie nani mimi(who will I run to),
nauliza( eehx2) nimwogope nani mimi(who
should I fear)
masiah sina haya nitakukimbilia
wewe,
(with no shame I will run to you messiah)
kwa maana nimeona ,hakuna kama wewe,
(because I have seen no one like you)
masiah sina haya
,nitakukimbilia wewe,
(with no shame I will run to you messiah)
kwa maana nimeona ,hakuna kama wewe,
(because I have
seen no one like you)
(refrain)
Verse3
Hakuna x2 ,mwenye penzi kama lako,baba
(no one with such fatherly love)
Hakuna x2 baraka kama zako wewe,
(no other blessings like yours)
Hakuna x2 aliyenifia ila wewe,
(you only who died for me)
Hakuna x2 eeh,eeh (no one eeh)
Repeat verse 3
(refrain)
Na rehema kama zako wewe,(your mercies)
Na upendo kama wako wewe,(your love)
Eeh eh(eeh)
No comments:
Post a Comment