Showing posts with label REBEKAH DAWN. Show all posts
Showing posts with label REBEKAH DAWN. Show all posts

Monday, March 22, 2021

OH MY SOUL LYRICS BY REBEKAH DAWN FT. MARY MONARI



Oh my soul, where is your faith?

Where is your hope?

Why are you troubled?

Why are you worried 

And anxiously trying to figure out 

All that’s to come?



Oh my soul, why do you doubt?
Why do you fear?
Where is your song?
Why aren’t you singing 
And thankfully giving Him praise

For all that’s to come?



Has He ever failed you?

Has He ever left you?

Has He ever spoken a promise and not made it good?

He never has, He never will, He never would

Look back and remember
All that you ever thought was your loss
Has been only gain
He will do it again

He can do it again!

Oh my soul, why do you fear?

Why can’t you surrender?

Where is your trust?
Why aren’t you willingly choosing 
To follow Him into
All that’s to come?



Oh my soul, why do you hold back?
Why do you reason?

Haven’t you seen that in every season

He’s been there 
And still now He’s with you

In all that’s to come?

Isn’t He faithful?
Can you not trust Him?

Isn’t He kind and all that He’s allowed 
Has always worked for good? 



You can’t even imagine
My soul, you can’t even fathom
All that He has planned and all that's in store

For His promise is true and His Word is secure



So let faith rise over your fear
Remind yourself of all the years
You have seen His hand
He has brought you through
And even though this is hard
This is nothing new

He is here, He’s always been
It’s just your fear
Silence it then you will see

It’s just shadows of death
But He’s not finished yet
And come what may, His word will stay

Oh my soul…see all He’s done
Oh my soul…remember, He’s won

Oh my soul…His kindness remains

Oh my soul…lift up your praise

The story’s not over
He isn’t finished

"Tis so sweet to trust in Jesus
Just to take Him at His word
Just to rest upon His promise

And to know, thus saith the Lord

Jesus, Jesus

How I trust Him

How I've proved Him o'er and o'er
Jesus, Jesus
Precious Jesus
Oh, for grace to trust Him more

Friday, June 26, 2020

THE BLESSING LYRICS BY REBEKAH DAWN (SWAHILI COVER)


Bwana akubariki na akulinde (The Lord bless you and keep you)
Akuangazie uso Wake (Make His face shine upon you)
Na kukufadhili (And be gracious to you)
Akuinulie uso Wake (The Lord turn His face toward you)
Na kukupa amani (And give you peace)

Neema yake iwe kwako (May His favor be upon you)
Na hadi vizazi elfu  (And a thousand generations)
Familia na watoto wako (Your family and your children)
Na wao na wao (And their children, and their children)

Uwepo Wake uende mbele yako (May His presence go before you)
Nyuma yako, kando yako (And behind you, and beside you)
Ikuzingire, iwe ndani yako (All around you, and within you)
Yuko nawe, Yuko nawe (He is with you, He is with you)

Asubuhi na jioni (In the morning, in the evening)
Ukujapo, uendapo (In your coming, and your going)
Kwa majonzi na furaha (In your weeping, and rejoicing)
Yuku nawe, Yuko nawe (He is for you, He is for you)

Akujali (He cares for you)
Akulinda (He watches over you)
Akuona (He sees you)
Akuwaza (He thinks of you)
Akupenda (He loves you)
Akuponya (He heals you)
Yuko nawe, Yuko nawe (He is for you, He is for you)

Sunday, March 5, 2017

MANENO LYRICS AND TRANSLATION BY REBEKAH DAWN


Wakati mwingine nikiketi kukuimbia mie
(Sometimes when i sing for you)
Huwa nalemewa kupata maneno yanayoshimiri
(i lack the best words to define you)
Ni kama mtoto mchanga anapojaribu kueleza ukubwa wa sayari
(its like a child explaining how big the universe is)
Ni kama kidege kinapojaribu kueleza upana wa mbingu
(like a bird trying to explain how big the sky is)
Ni kama changarawe kujaribu kueleza ukubwa wa bahari
(like sand trying to explain how bog the ocean is)

Ukweli ni kwamba maneno yangu hayatoshi, hayawezi kueleza
my words ain't enough to explain)
Hivyo daima na milele siku zote za maisha yangu
(for the rest of my life)
Nitatafuta kukuimbia maneno yanayokufaa
(i will sing the best words for you)

Wakati mwingine nikiketi kukuimbia mie
(Sometimes when i sing for you)
Huwa nalemewa kupata maneno yanayoshimiri
(i lack the best words to define you)
Ni kama tone la maji kujaribu kueleza mfuriko wa mvua
(like a raindrop trying to explain the downfall of rains)
Ni kama wapendanao kujaribu kueleza fumbo la penzi
(like lovers trying to explain the mysery of love)
Ni kama mshumaa kujaribu kueleza kung’aa kwa jua
(like a candle trying to explain the brightness of sun)

Ukweli ni kwamba maneno yangu hayatoshi, hayawezi kueleza
(my words ain't enough to explain)
Hivyo daima na milele siku zote za maisha yangu
(for the rest of my life)
Nitatafuta kukuimbia maneno yanayokufaa
(i will sing the best words for you)


Ni kama jiwe linapojaribu kueleza urefu wa mlima
(like a stone trying to explain the height of a mountain)
Ni kama sheha shupavu kujaribu kueleza hadithi zote za jadi
(like a storysteller explaining all long time stories)
Ni kama mwenye dhambi kujaribu kueleza neema ya msamaha
(like a sinner explaining the grace of forgiveness)

Ukweli ni kwamba maneno yangu hayatoshi, hayawezi kueleza
(my words ain't enough to explain)
Hivyo daima na milele siku zote za maisha yangu
(for the rest of my life)
Nitatafuta kukuimbia, nitatafuta kukuimbia
Maneno yanaykuofaa
(i will sing the best words for you)


Thursday, October 6, 2016

KUTEMBEA NAWE LYRICS TRANSLATION BY REBEKAH DAWN



Nikipoteza njia (If ever I should lose my way)
Kwa safari nimechagua (In this journey I have chosen)
Nisipokuwa na nguvu (If I don’t have any strength)
Niite, niite (Call to me, call to me)
Niongoze kwa neema (Lead me with Grace)
Nifunze kwa upole wako (Teach me with your gentleness)
Hata nikikosea (Even if I should make a mistake)
Nisaidie, nisaidie (Help me, help me)

Refrain:
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Natamani kutembea nawe (I desire to walk with you)
Niongoze, niongoze (Lead me)
Sielewi njia hii (I’m not familiar with this path)
Nd’o maana nakuhitaji (That is why I need You)
Nakutegemea wewe (I depend on You)
Enda nami, enda nami (Go with me, go with me)
Nashindwa kukupa vyote (It’s hard to give You everything)
Hata hivyo nitaamini (Even so I’ll believe)
Kwani najua mwishowe (For I know at the end)
Kuna raha, kuna raha (There is joy, there is joy!)


(Refrain)