Monday, November 30, 2015

TEGEMEO LYRICS BY KAMBUA AND BONFILLS

Verse1
ingawa leo, nimesota,
siku yaja maulana atanisettle,
Ingawa leo nadharauliwa,
 bila shaka siku moja nitashine ,
fadhili zako mungu zadumu milele,
nyakati na majira hubadiliki,
Wewe Yule jana leo na milele,
nitainua macho yangu milimani

(Refrain)
Msaada wangu, watoka kwako
(watoka kwako),
Wewe bwana(wee bwana ),
wakovu wangu, (watoka kwako)
Wewe yesu wangu,(ewe bwana)
ujasiri wangu( watoka kwako)x2,
(ewe bwana)
Ulinzi wangu( watoka kwako) ,
(ewe  bwana)

2 comments:

Anonymous said...

By Blazin’
Verse 1: (Bonfills)
Ingawa leo, nimesota,
Siku yaja Maulana atanisettle,
Ingawa leo nadharauliwa,
Bila shaka siku moja nitashine,
Fadhili zako Mungu zadumu milele, (milele)
Nyakati na majira hubadiliki, (no no no)
Wewe Yule jana leo na milele,(milele)
Nitainua macho yangu milimani

(Refrain)
Msaada wangu, Watoka kwako
(watoka kwako, ewe bwana),
Wewe bwana (ewe bwana),
Wokovu wangu, (Watoka kwako),
Wewe yesu wangu (ewe bwana),
Ujasiri wangu (watoka kwako)
(ewe bwana),
Ulinzi wangu (watoka kwako),
(ewe bwana)

Verse 2: (Kambua)
Njia zangu, wazitengeneza,
Mahitaji yangu baba kayatimiza,
Njia zako Nazitamani,
Niongoze Hadi nifike Huko,
Safari iwe ngumu, sitakufa moyo,
Siko pekee yangu, no no never alone,
adui anijie mimi sitaogopa
Huniachi eeeh eeeh….

(Refrain)
Msaada wangu, (watoka kwako)
Watoka kwako, (ewe bwana),
Na uwezo wangu, (Watoka kwako),
Ooh ewe bwana, (ewe bwana),
Uhai wangu (watoka kwako)
Watoka kwako, (ewe bwana),
Na Upako wangu baba (watoka kwako),
Kwako bwana (ewe bwana)

Bridge:
Nani kama wewe, Mungu muweza yote,
Kimbilio langu, Faraja yangu,
Tegemeo langu, Msaada wa karibu,
Nani kama wewe,
Duniani mzima ni wewe watawala,

(Refrain:)
(Watoka kwako), Watoka kwako,
(ewe bwana),
Uhai wangu (watoka kwako)
Yeah, (ewe bwana),
Wokovu wangu, (Watoka kwako),
Watoka kwako, (ewe bwana),
Na Upako wangu baba (watoka kwako),
Kwako we, wewe yesu wangu (ewe bwana),

(END)

Unknown said...

♥️