Showing posts with label BON FILLS. Show all posts
Showing posts with label BON FILLS. Show all posts

Monday, November 30, 2015

TEGEMEO LYRICS BY KAMBUA AND BONFILLS

Verse1
ingawa leo, nimesota,
siku yaja maulana atanisettle,
Ingawa leo nadharauliwa,
 bila shaka siku moja nitashine ,
fadhili zako mungu zadumu milele,
nyakati na majira hubadiliki,
Wewe Yule jana leo na milele,
nitainua macho yangu milimani

(Refrain)
Msaada wangu, watoka kwako
(watoka kwako),
Wewe bwana(wee bwana ),
wakovu wangu, (watoka kwako)
Wewe yesu wangu,(ewe bwana)
ujasiri wangu( watoka kwako)x2,
(ewe bwana)
Ulinzi wangu( watoka kwako) ,
(ewe  bwana)