Friday, November 20, 2015

TUA MIZIGO LYRICS BY ROSE MUHANDO





(Refrain)
Ai u(Mpe )x4 yesu  (mpe )x2

Verse1
Mpe mizigo ya dhambi zako  yesu mpe (mpe)
Magonjwa yamekushinda mpe yesu mpe (mpe)
Watu wako wanakusumbua mpe yesu mpe (mpe)
Ndoa inayumbayumba mpe yesu mpe (mpe)
Watoto wanakushinda mpe yesu mpe (mpe)
Kazini hauna amani mpe yesu mpe (mpe)
Jirani ana kidomodomo mpe yesu mpe (mpe)
Umaskini kama umekuwa mzigo mpe yesu mpe (mpe)
Wachumba wana kudanganya mpe yesu mpe (mpe)

Verse2
Mpe yesu we (mpe)x4
Ukimkuta njiani, (mpe)
Mpe yesu we eh (mpe)
Ukimkuta barabarani (mpe)
Mpe yesu we eeh(mpe)
Ukiingia kanisani (mpe)
Mpe yesu we eh (mpe)
wachaa kuzuazua na mizigo yako (mpe)
Mpe yesu mama (mpe)
Wacha kutangatanga na shida zako (mpe)
Mpe yesu wee (mpe)
Stress za nini mpe yesu ,mpe yesu we (mpe)
(Refrain)

Verse3
Ale (peleka)x21
(peleka)x8( ayaa )x7,
Peleka kwa yesux5
Pelekax3
Aah tua,x2 mzigo tua,(tuax7),
Tua mzigo,


Verse4
Peleka mzigo peleka mzigo peleka husiache,
Peleka magonjwa peleka taabu peleka kwa yesu,
Mzigo wa dhambi (peleka),
Peleka kwa yesu (peleka)
Uchawi wa mavuno(peleka )
Peleka kwa yesu(peleka)
mizigo ya mifuko (peleka)
peleka kwa yesu (peleka)
ukahaba ulio *kubugu* (peleka)
peleka kwa yesu (peleka)
peleka nyumba dogo (peleka)
peleka kwa yesu (peleka)
wambea na visavisavina wote (peleka)
wasiopenda maendeleo ya watu wote,
peleka kwa yesu

verse5
pelekax7
aya x7

peleka kwa yesu(tua mzigo)
peleka kwa yesu(kinundu mgongo)
peleka kwa yesu(jicho kono)
peleka kwa yesu(nyumba dogo)
peleka kwa yesu (ayaa yaa yaaa)
(tua)x7,tua mzigo,mzigo wa dhambi,(tua mzigo)
Wa ukahaba,(tua mzigo),mwenzangu (tua mzigo)
Wa uchawi wee,


Verse6
twende x2 twendeni kwa yesu (twende)
akina mama (twende)
kwa yesu kuna raha (twende)
twende kwa yesu (twende)
tupeleke laana (twende)
twende kwa yesu (twende)
Baraka tele tele (twende)
twende kwa yesu (twende)
eeh mlima wa moto (twende)
twende kwa yesu (twende)
kwa yesu kuna raha (twende)
twende kwa yesu (twende)
hakuna masengenyo (twende)
twende kwa yesu (twende)
uchawi hakuna (twende)
twende kwa yesu (twende)
kurogwa hakuna (twende)
twende kwa yesu (twende)
ah imbeni twendeni (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Tutapata raha (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Kusemwa hakuna (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Baraka teletele (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Kuna raha na uzima (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Hakuna mateso (twende)
Twende kwa yesu (twende)
 Tutafurahi daima milele (twende)
Twende kwa yesu (twende)
Tutarukaruka kama dama (twende)
Twende kwa yesu (twende)

(Jamani twendeni (twende)
Twende kwa yesu (twende))x2

Ahh imbeni twendeni (twende)
Twende kwa yesu (twende)

(tua)x5 tua mzigo.

No comments: