Saturday, May 14, 2016

VIUMBE LYRICS BY ABEDDY NGOSSONi wewe, baba yangu ,ni wewe ngome yangu x2

(viumbe vyote vinakuabudu baba )
ni wewe masiah,x2
(viumbe vyote vinakuheshimu we )
ni wewe masiah,x2
(tunainama tunainuka baba )
ni wewe ,ni wewe x2
(twanyenyekea tunatubu dhambi zetu)
ni wewe ,ni wewe
uabudiwe milele yote 
ni wewe ,ni wewe x2

wee ndiye mwanzo mwisho,uliyekuwa na utakayekuweko,
(ni wewe baba yangu) ,ni wewe pekeako ,ngome yangu,
unayeponya roho yangu ,ni wewe baba yangu ,
ni wewe ngome yangu,

ni wewe eh ,(bwana)x2
oh oh (bwana),
mponyaji wangu (bwana)
mfariji wangu (bwana)
mkombozi wangu (bwana)
mlinzi wangu (bwana)
nasema mwamba wangu (bwana)

(viumbe vyote vinakuabudu wewe )
ni wewe wewe,
kama sio wewe ningekuwa wapi,
kama sio wewe ningefanya nini ,
ni wewe baba yangu ,ni wewe pekeako ,
ni wewe ngome yangux2No comments: