Wednesday, May 18, 2016

WONDER LYRICS BY PAPA DENNIS FT.KOREDE BELLO


nakumbuka utotoni,bado nikiwa mgongoni,
pale mashambani maisha bila tumaini,
mama yangu kateseka ,ndio nipate malezi,
vibarua kafanya nipate chakula mezani,
nikiwa shula ya msingi ,mama yangu kafariki,
nikaanza kutafuta,hapa na pale,hapa na pale,
nikaanza kuzunguka,hapa na pale,hapa na pale,
mola kanisaidia ,nikapata msaidizi,


wonder wonder,bado blessings zinacome x2
oh( na na nax3) ,bado blessings zinacome  x2
purukutu x2 ,bado blessings zinacome


Korede bello,me i remember ,
yes i remember,it was sometime ago,
my people remember oh ,yes they remember was sometime ago,
so as a young boy ago,we gonna pray talk to God,
now we make a,make a superstar,
they know we are ,all over africa,


wonder wonder,bado blessings zinacome x2
oh( na na nax3) ,bado blessings zinacome  x2
purukutu x2 ,bado blessings zinacome

sasa maisha imebadilika na si uongo,
nilikuwa nakosa chakula ,na sasa napeana,
nilikuwa nikichekwa na watu ,mi mtoto wa fukara,
mavazi ilikuwa shida,ona sasa madesigner,
sikuwa na nauli,nitembee sana,
ona sasa napanda ndege,nazunguka na dunia,
bwana wa majeshi nimekubali,
wewe ndiwe wa wajane,tena baba wa yatima,

kila kitu maishani mwangu yote ni yesu mi naita wonder,
baraka zangu zote wanitendea naita wonder,

kila kitu maishani mwangu x3
wonder x4
everything is wonder,(wonder)
kupata baraka ni wonder (wonder)
No comments: