Wednesday, May 18, 2016

MIUJIZA LYRICS BY PAPA DENNIS

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,

ukimwamini mungu kweli ndugu yangu utauona mkono wake,
kama alivyonibariki mimi papa dennis nashukuru eh ,
nilikuwa nachekwa na watu (nachekwa tu),
nilikuwa nikidharauliwa,sasa leo nimekuwa star mkuu,
watu wote wananikimbilia,nikitembea wanadhani wanapata*
yote kwa sababu yako oh yesu ah,
(nitazidi tu ,kumsifu mwokozi ah x2)sisemi kitu,

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,

kwa kunibariki kwako baba ninajaribiwa na mambo,
na wasichana nilikuwa nikipenda walinikataa,
na mimi bado sijaoa,unionyeshe mke mwema,
mwenye atatoka kwako baba nisaidie,

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,x2


No comments: