Friday, May 20, 2016

AMENITOA FAR LYRICS BY WEEZDOM


Amenitoa far x2
ka amekutoa far,

(chorus)
(amenitoa far) ndio maana nasema ah i ah i,
ka amekutoa far nisikie ukisema ah i ah i x2

verse 1
mbali sana kama watoto na toy,
mbali kama kanu na moi,
mbali sana kama odinga na mwai,
mbali kama leso na masai,
ni mbali  kama mombasa na voi,
very far tena chupa sitoboi,
mbali tena kama ketepa na chai,
COTU na atwoli,eugine na kaguta,
ni mbali ka kagame na kigali,
mbali tena kama bifwoli na wakoli,
mbali ka asali na sukari,
pamoja ka referee na saa,

(chorus)

verse 2
mbali,siku zangu zote za kunywa chai na ugali
kutembea kaguu nikienda kila mahali,
kupotea kwa njia bado kanishikilia,
tumekuwa pamoja kama mariga na mpira,
amenitoa mbali ka bongo na masela,
nikiteleza nilidhani nimefail,
kumbe tu shetani ndiye alikuwa ananikejeli,
shida nyingi shida zangu za dunia,
shida zikaondolewa bila mi kuchangia,
amenitoa far ka mwimbaji na kipaji,
yea,ka kibaki na lucy,na lucy

(chorus)

verse 3
amekuwa mlinzi,G.O.S,God of surveillance,
kila siku amekuwa mwaminifu,
kila siku nitakuwa namsifu ,mtukufu,

(chorus)


No comments: