Showing posts with label PAPA DENNIS. Show all posts
Showing posts with label PAPA DENNIS. Show all posts

Wednesday, May 18, 2016

MIUJIZA LYRICS BY PAPA DENNIS

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,

ukimwamini mungu kweli ndugu yangu utauona mkono wake,
kama alivyonibariki mimi papa dennis nashukuru eh ,
nilikuwa nachekwa na watu (nachekwa tu),
nilikuwa nikidharauliwa,sasa leo nimekuwa star mkuu,
watu wote wananikimbilia,nikitembea wanadhani wanapata*
yote kwa sababu yako oh yesu ah,
(nitazidi tu ,kumsifu mwokozi ah x2)sisemi kitu,

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,

kwa kunibariki kwako baba ninajaribiwa na mambo,
na wasichana nilikuwa nikipenda walinikataa,
na mimi bado sijaoa,unionyeshe mke mwema,
mwenye atatoka kwako baba nisaidie,

mimi nashukuru kwa kunionyesha,
miujiza sijawahi onyeshwa na mtu hapa chini ya jua,
tumsifu mungu wetu baba zambe eh,x2






WONDER LYRICS BY PAPA DENNIS FT.KOREDE BELLO


nakumbuka utotoni,bado nikiwa mgongoni,
pale mashambani maisha bila tumaini,
mama yangu kateseka ,ndio nipate malezi,
vibarua kafanya nipate chakula mezani,
nikiwa shula ya msingi ,mama yangu kafariki,
nikaanza kutafuta,hapa na pale,hapa na pale,
nikaanza kuzunguka,hapa na pale,hapa na pale,
mola kanisaidia ,nikapata msaidizi,


wonder wonder,bado blessings zinacome x2
oh( na na nax3) ,bado blessings zinacome  x2
purukutu x2 ,bado blessings zinacome


Korede bello,me i remember ,
yes i remember,it was sometime ago,
my people remember oh ,yes they remember was sometime ago,
so as a young boy ago,we gonna pray talk to God,
now we make a,make a superstar,
they know we are ,all over africa,


wonder wonder,bado blessings zinacome x2
oh( na na nax3) ,bado blessings zinacome  x2
purukutu x2 ,bado blessings zinacome

sasa maisha imebadilika na si uongo,
nilikuwa nakosa chakula ,na sasa napeana,
nilikuwa nikichekwa na watu ,mi mtoto wa fukara,
mavazi ilikuwa shida,ona sasa madesigner,
sikuwa na nauli,nitembee sana,
ona sasa napanda ndege,nazunguka na dunia,
bwana wa majeshi nimekubali,
wewe ndiwe wa wajane,tena baba wa yatima,

kila kitu maishani mwangu yote ni yesu mi naita wonder,
baraka zangu zote wanitendea naita wonder,

kila kitu maishani mwangu x3
wonder x4
everything is wonder,(wonder)
kupata baraka ni wonder (wonder)
















Saturday, March 12, 2016

YESU ANAWEZA LYRICS BY PAPA DENNIS FT CHRISTINA SHUSHO



verse 1
mungu aliupenda ulimwengu,
akamtoa yesu ,tusiangamie,
nashangaa, mate walimtemea,
nashangaa,mijereti alipigwa bwana,
nashangaa ,taji ya miba alivishwa yesu
oye x4 ah oye
akasurubishwa ,akafa akazikwa,
siku ya tatu akafufuka yesu bwana wangu,
kwa kifo chake (kifo chake)
tumeokolewa (tumeokolewa),
husiteseke ,rudisha yote msalabani kwake,

(chorus)
bwana yesu anaweza ,
peleka shida msalabani kwake,
bwana yesu anatenda,
peleka shida msalabani kwake,

verse 2
bwana yesu ,anaweza,
peleka shida zako kwake,
bwana yesu, anatenda,
peleka shida zako kwake,
jina lake mwenye nguvu,tena msaada,
oh peleka shida zako kwake,
yeye kimbilio ,amejawa na huruma,
ah oh peleka shida zako kwake,

(chorus)x3

verse 3
ukikosa pesa ,ukikosa watoto ,
umuite bwana,ataitikia,
kwenye biashara zenu ,
mkimuita bwana,mkimuita yahweh,
ataitikia,halleluyah

(chorus)x3

Monday, November 30, 2015

NJOO LYRICS AND TRANSLATION BY PAPA DENNIS AND TONZI




(Refrain)
Njoox5,kwa nyumba ya bwana,(come to lords house)
Njoox5,hakuna kuboekax2(come no boredom)
Njoox3 (u ee)x2(come ooh)

Verse1
Nilifurahi waliponiambia ,(I rejoiced when they told me)
twendeni nyumbani mwa bwana,(we go to lords house)
nilifika nikapata raha( I went and found happiness)
 na watu wameng’ara,(and people were smart)
nyumba kubwa ona na magari za kifahari,(a big house with expensive cars )
kila siku ni kuparty,(everyday is partying)
kweli kweli kuna bash,(truly,truly parties)
warembo ,kibao,wamejaa upako,
(many girls filled with anointing)
hatujali jana kuliendaje,
(no worries of what happened yesterday)
yaani tulitoka aje,(how we came out)
ju kwa nyumba ya mungu hakuna hangover,
(no hangovers in Gods house)
*aja ni ya machupa,eeh nanana,
(refrain)

Verse2
Nilifurahi waliponiambia,(I rejoiced when they told me)
 Twendeni( nyumbani kwa baba)x2(we go to lords house)
Kufika cha kwanza nilipata mabadiliko,(firstly I found changes)
Vitu vya aina ,huwezi pata pengine,
(different things,no were to be found)
Wamama wa dot.com tena wamejaa meno,
(mothers still looking young)
Jana ulikuwa umeshine ,(umejaa heshima)
(yesterday you were shinning with respect)

Masengenyo (allergic)             (am allergic to gossips)
Vitina (allergic)                         (am allergic to intrigues)
Tamaa (allergic x3)x2              (am allergic to greedyness)



Verse3
Ngala lingo kayesu yo,(I love this God)
Azali malamo yo ,(because he is good)
ngala lingo kazambe yo, ,(I love this God)
Aza bolingo,

Nampenda mungu huyu , ,(I love this God)
Kwa sababu yeye ni mwema,(because he is good)
Nampenda yesu huyu, ,(I love this jesus)


Ye ni baba,papa dennis(Yahweh),(He is father)
Tonzi ,tonzi (Yahweh)           
Watu wote (Yahweh)(to all people)   
Tumsifu (Yahweh)(lets praise Him)  
Kina mama wamsifu (Yahweh)(ladies lets worship Him)
Tusake imani (Yahweh) (we search for peace)
*Baganda paji (Yahweh)       
Yahweh muruji (Yahweh)    


Friday, November 20, 2015

IN LOVE LYRICS BY PAPA DENNIS

A man and a woman ,
shall leave their parents,
Come together, and be one.

Verse 1
Hapo zama ,bado wachanga,(long time ago while we were young)
 tulipendana sana,(we loved each other)
Ulichopewa ,ukakificha ,(you could hide what you were given)
kisirisiri ukaniletea,(to bring it to me secretly)
Ata wazazi wako ,walipoleta shida ,(even when you parents complained)
Mnyonge mimi ukanitetea,(you defended me)
Mtoto maskini,(poor me)
ukasimama nami,(you stood with me)
bila kujali ninakotoka,(without minding my destiny)
Baby you are my dream ,
Baby you are my future,x2
I can’t deny ,                          




 (Refrain)
 mdomoni nina wimbo mpya,
(I have a new song in my lips)
Eeh ya mapenzi (a love song) x2
Am in love x8

Verse2
Nimetembea kwingi ,(I have travelled a lot)
nimewaona wengi,(I have seen many )
 wenye kudai mapenzi,(claiming to be in love)
akina vera,akina huddah,(the likes of vera and Huddah)
lakini sijapotezwa,aah(but am not misled)
baby baby ,your love is true,
baby baby I can’t be wrong,
(refrain)

Verse3
P –e-t-e,nikuvishe pete,(I put you a ring)
p-e-t-e,kubali nikuvishe pete,(I agree I put you a ring)


am in lovex8
am in love (babyx2)x2