Tuesday, June 14, 2016

BAMBA MBAYA LYRICS BY KELELE TAKATIFU(chorus)
nimeokoka na ina nibamba mbaya,
yesu  ananibamba mbaya,
eiii ananibamba mbaya,
bamba bamba mbaya x2
bamba bamba ah,
ananibamba mbaya,
ananibamba mbaya, ah,
(come again)
bamba bamba ah,
ananibamba mbaya,
ananibamba mbaya,


verse 1 
shetani nyenye nyenye bubu,
ninakukanyaga kama mdudu,
yesu akisema me nado do,
kazi tu kujibamba na kwa budu
msalabani akabuy me
ye ndio mso wengine jo ni tiny,
mambo yake laini ka maini
aii,ye amening'arisha niko shiny,
horera!
oh God kwake niko easy,
easy no rush,yesu anipenda ,yess me know that,
can't wait for sunday so ,
me go church oh God,

(chorus)

verse 2
yesaiyaa ,me napenda messiah,
tangu niokoke shetani anitoke wokovu inanibamba mbaya,
ananibamba amenipa roho,
nyeupe kama pamba
unaweza niita ndege ,me napanda,
dhambi tumeua na umealikwa matanga,
haijalishi we nani ,
umetoka buru ama wendani,
mizigo mizito umebeba ,
ni jua bila yesu we,
huwezani karibu uwe ndani

(chorus)

[bridge]

yes man( ananibamba mbaya) x3
yes man( ananibamba mbaya) x3
ananibambambambeng!
anani,ribaribaribangbeng!
ananibambambambeng!
(chorus)

ona na na what can i say x2
unanibamba day by day x2}x2


1 comment:

DURP said...

It brings us closer to God. Thanks for your lyrics.