Wednesday, July 20, 2016

TODAY LYRICS BY JIMMY GAIT
I'm telling ,am telling ,
am telling you vile alifanya anaweza,x2

verse 1
kama ni magonjwa aliwaponya watu kibao,
kama ni njaa alilisha lisha watu kibao,
kama ni pesa na mali ,alibariki yakobo,
kama ni mtoto,uliza annah pia na sarah,

(chorus)
(bado ni yeye eh,ni yeye eh,)x2
what He did yesterday ,He can do today,x2
today na today eh, today na today x2

I'm telling ,am telling ,
am telling you vile alifanya anaweza,x2

verse 2
shedrack ,meshack abednego,
hawakuiabudu miungu,
na yeye mungu wa miungu,
huyo kawaokoa,yeye jehova jireh,
alikuwa naye ibrahim,
(aki ni yeye x2 )mungu huwa natafutaga,
(aki namufatutaga x2),
oh namtafutaga,kisha nampataga,

(chorus)
(bado ni yeye eh,ni yeye eh,)x2
what He did yesterday ,He can do today,x2
today na today eh, today na today x2

(aki ni yeye x2 )mungu huwa natafutaga,
(aki namufatutaga x2),oh namtafutaga,kisha nampataga,
what He did yesterday ,He can do today,x2
today na today eh, today na today x2
No comments: