Saturday, August 13, 2016

MAPENZI LYRICS BY BAHATIWengi Kwa Mapenzi Hawana Imani,
Yaliwaumiza Sana
Mapenzi Yanatesa Zaidi ya Money ×2

Yalimtesanga Kakangu Zamani
Nyumbani Ikawa Kisirani
Washirika Wakatoka Kanisani.
Yalimtesanga Kakangu Zamani
Wameyaimba Wengi kwa Burudani
MWENYEWE ALIONYESHA MSALABANI....Lalalaaa

CHORUS
Oh Ooh Oh Ooh
Mapenzi Kwanini Unatesa Tesa???
Aliyekuumba ni Mola Mola×2

VERSE 2
Nilifunzwa na Babuu
Alivyomtunza nyanyaa
Nikasoma kwa baba Naye
Alivyo Mpenda Maamaa×2

Na Adamu akampenda Hawa
Sababu akala Lile tunda
Apo ndipo Dhambi kazaliwa
Unakumbuka Weewe???

Na Adamu akampenda Hawa
Sasa Dhambi inafanya Tulia
Kwa Mapenzi inafanya Tunachezwaa...
UNANIPATAA???

CHORUS Oh Ooh Oh Ooh
Mapenzi Kwanini Unatesa Tesa???
Aliyekuumba ni Mola Mola×2

[ BRIDGE ]
Nikaogopa Kupenda Tena
Nikaogopa Kupata Waangu
Mtoto Wa Mama
Mbona Unatesa Mapenzi???
Mbona Unatesa Kwanini???
Mbona Unatesa Mapenzi???
Kazini,Nyumbani,Kanisa Inasemaa...

CHORUS
Oh Ooh Oh Ooh
Mapenzi Kwanini Unatesa Tesa???
Aliyekuumba ni Mola Mola×2

MUNGU KAUMBA MAPENZI
STORY YA MAPENZI
ILIANZIA  EDENI

1 comment:

Unknown said...

Enter your comment...the lyrics is not correct instead of alivyo mpeenda maama it should hajameenda maama