Friday, December 2, 2016

KWA MOYO WANGU LYRICS BY BAHATI & JEMMIMAH THIONG'O


BAHATI
oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu
Miaka elfu mbili zilizopita,
hiyo siku baba,kabla jua halijazama
kabla giza halijatanda,
pale milimani ,pale msalabani
katika misumari ,kalipa yote maishani
baada ya mapigo na matusi,
kanisamehe mwenye dhambi,
oh oh oh oh

Chorus
kutoka kwa moyo wangu,
ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu
nyimbo zangu zikuinue,x2

JEMMIMAH
kama si we kunifia basi ningeitwa nani,
kama sio kwa damu yako basi ningetakasika aje
kama sio we mungu wangu mimi ningeishi vipi
ulikufa ukafufuka ili nipate uzima wa milele
nakuinua ,uishiye,pokea sifa
kwa maana na wewe mimi sina hofu,

Chorus
kutoka kwa moyo wangu,
ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu
nyimbo zangu zikuinue,x2

BAHATI
God because of your love i am who i am today
 because of your love i don't know what i have to say
because of your love you have given me life for my debt to pay

JEMMIMAH
mapenzi yasiyo kuwa na kifani
kwa ajili ya mapenzi mabaya hayahesabiki
mapenzi ya yesu wangu ,yamenitengeza jinsi nilivyo
oh ni mapenzi ya yesu wangu

Chorus
kutoka kwa moyo wangu,
ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu
nyimbo zangu zikuinue,x2

No comments: