Friday, April 7, 2017

SHULE YAKO LYRICS BY MERCY MASIKA[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako

verse 1
Nikiwa nawe kama mwalimu,
ninajua nitahitimu,
nitashinda adui, akileta majaribu
unitayarishe, unibadilishe,
mtihani nipite, mwito nitimize,
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako


[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako

verse 2
Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi,
wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali,
unifunze mipango, wote niwaheshimu,
Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu
nijue kuandika, niandike maono yangu,
nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako ,
nijue kuongea , nihubiri neno lako oh ,
kwa watu wako

[refrain]
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako
nichukue, nifunze, nataka kusoma,
kwa shule yako, kwa shule yako

2 comments:

Mshigeni Mganga said...

Nadhani ubeti wa pili ameimba "Unifundishe nidhamu" ndio inaleta maana, na sio "Unifundishe mipango"

nduati ewing said...

Enter your comment...waoh waoh..this jam was dopest,love it
mercy u wil always b my hero love your songs,they ar an inspiration to me always