Friday, April 7, 2017

NIONGOZE LYRICS BY EVELYN WANJIRU
Niongoze bwana,
Niongoze bwana
Niongoze bwana,
popote niendapo

Niongoze bwana,
Niongoze bwana
Niongoze bwana,
popote niendapo

Lead me oh Lord to the place
Lead me oh Lord to the place
Lead me oh Lord to the place
place where you want me to go

Nahitaji nguvu zako baba,
nahitaji neema yako baba,
nishikilie mkono nisipotee baba
siwezi siwezi kwenda bila wewe

Niongoze bwana,
Niongoze bwana
Niongoze bwana,
popote niendapo

uniongoze kwa ukweli wako
unifunze njia zako
hold my hand, walk with me
nakutegemea, baba kila siku

Niongoze bwana,
Niongoze bwana
Niongoze bwana,
popote niendapo

Lead me oh Lord to the place
Lead me oh Lord to the place
Lead me oh Lord to the place
place where you want me to go

you my friend jesus,
I trust in Jesus
I obey you

He leadeth me,
He leadeth me
By his own hand, he leadeth me
He is faithful follower
For by his hand, he leadeth me
For by his hand, he leadeth me
For by his hand, he leadeth me

No comments: