Mweke Mungu ndani ya ndoa, na mapepo atazitoa×2
As we all know, love is a beautiful thing eh,
as we all know...ooh! POZZE.
Sina mengi ila naweza sema,
asante kwa mwenyezi Mungu aah.
Namwomba sana, kwenye ndoa a type nguvu.
Najua unatamani mpenzi, ndoa kama ya dj mo..
lakini usijali mapenzi, Mungu ata tupa more.
Najua kuna milima nakuna mabonde,
tutabonda wote, I'm gonna be the best man..
oooh I'm gonna show you love my woman, oooh..
Chorus
Coz Baby ur ma jigi jigi eeh, unanipa githiriri eeh×4
Baby utakula nini, ugali ama samaki?
Sina hela ya Lamborghini,
lakini nitakutreat kama qeeni!
After job usipande mat.
Nitakuja ma.. kukuchukua mama,
tutembe Nairobi tukule tumaindi
choma, tutembe nairobi, tuonje mrenda mama.
Tumuombe Mungu baba,
ndani ya ndoa atupe raha..
tumuombe Mungu baba.. ndani ya ndoa atupe raha
I'm gonna be the best man,
oh I'm gonna show you love my woman ooh
Chorus
Coz Baby ur ma jigi jigi eeh, unanipa githiriri eeh×4
Maboy wa mtaa
Walini cheka, uliposema YES I DO......
I'm gonna be the best man,
oh I'm gonna show you love my woman ooh
Chorus
Coz Baby ur ma jigi jigi eeh, unanipa githiriri eeh×4
No comments:
Post a Comment