Saturday, September 9, 2017

NDOGO NDOGO LYRICS BY BAHATI FT.DAVID WONDER

Hizi vitu ndogo sizifanye nikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

sukari ikipanda na unga,
hizo vitu ndogo,
umekonda na yule ameunga hzo vitu ndogo,
hizo vitu ndogo,
unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo,
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo,

eh davide unajua bila yesu ni trickyde,
eh mimi bahatide,nakwambie shida zako ni ndogode,
ai,anakuchekide,ukicomplain ju ya haoliday,
hizo vitu dogode,mbele yake dogo kama
unashinda unalia kusota hizo vitu ndogo,
kaburini alishinda ata kifo hizo vitu ndogo,

Hizi vitu ndogo sizifanye nikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

hey me ni winner ,
ata kama pesa sina,
*
najua zote atanipa,
madeni alilipa huyu yesu wa uzima,
am nolonger a sinner,

eh vipide unajua bila yesu ni trickyde,
eh mimi mwanade,nakwambie shida zako ni ndogode,
ai,anakuchekide,ukicomplain ju ya haoliday,
hizo vitu dogode,mbele yake dogo kama

Hizi vitu ndogo sizifanye nikuimbie baba,
Hizi vitu ndogo sizifanye me nikununie baba,
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]
hizi vitu ndogo ndogo [Ndogo]

1 comment:

Mbogo Sherryl said...

Hizo vitu ndogode, mbele yake ndogo kama Odede.