Thursday, September 7, 2017

WACHA IWE LYRICS BY RINGTON X GLORIA MULIRO


Hayo yote ushuhuda,
mungu anakutengenezea,
mwisho ushinde,
mambo unapitia,yanakufanya uzimie,
yanakufanya we ulie,unajiuliza ako wapi,
huyu mungu ,wamuita kila siku
huyu mungu,mi najua anasikia,
huyu mungu anakupenda wewe sana,

ila bado,mbingu usikia,
tena bado mbingu itajibu,
ila bado mbingu uelewa,
tena bado mbingu itajibu,

basi wacha sasa iwe,
vile mungu anataka iwe,
mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,x2

kuna wakati,mbingu unyamaza kimya,
kuna wakati,mungu unyamaza kimya,
unaita ni kama husikiki,
unabisha,wala ufunguliwi,
unauliza maswali wala ujibiwi,

ila bado,mbingu usikia,
tena bado mbingu itajibu,
ila bado mbingu uelewa,
tena bado mbingu itajibu,

basi wacha sasa iwe,
vile mungu anataka iwe,
mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,x2

ukimuita munguwe atafika,
namlilia mungu we,akuhurumie,
umepigwa hadi ukaenda chini,
hauwezi inuka,unaonewa sana na kukanyagiwa,
umefika mwisho we,sasa surrender,
mungu yuko nawe,tena karibu sana dada we,
acha vita upiganiwe,acha mizigo ubebewe,
siku yako itafika,basi wacha iwe,

basi wacha sasa iwe,
vile mungu anataka iwe,
mapenzi yake yawe,
vile anataka yawe,x2

No comments: