Saturday, December 2, 2017

WACHA STORY LYRICS BY SHORTBABA (KELELE TAKATIFU)

Kama hunishw ju ya yesu basi buda wacha story
kama unishw juu ya ,buda wacha story
Kama hunishw ju ya blessing basi buda wacha story
Kama hunishw ju ya buda wacha story

hakuna time ya rongo rongo rongo
ma michezo kalongo longo
kabla ya kufungua mdomo domo
tubonge dogo dogo
kila kitu tuna zezeze
tusibonge ka wazezeze
tuachane na mapepepe
labda kusifu na kupraise se se

Kama hunishw ju ya yesu basi buda wacha story
kama unishw juu ya ,buda wacha story
Kama hunishw ju ya blessing basi buda wacha story
Kama hunishw ju ya buda wacha story

maneno maneno yanajenga na kubomoa
maneno maneno yanapoteza na kuokoa
maneno maneno kabla ya kuchoma
heri unyamaze
ama buda we kohoa
eh bonga blessings,bonga blessings

Kama hunishw ju ya yesu basi buda wacha story
kama unishw juu ya ,buda wacha story
Kama hunishw ju ya blessing basi buda wacha story
Kama hunishw ju ya buda wacha story