Nasikia kuitwa na sauti yake
anasema njoo kwangu nikurejeshe
Yaliobiwa yaliyochukuliwa na mwovu
anasema njoo kwangu nikurejeshe
Nikurejeshe, nikurejeshe
Anasema njoo kwangu nikurejeshe
Amani ya moyo iliyotoweka
usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata
Furaha ya kweli iliyotoweka
usiitafute pengine, Kwake Yesu utaipata
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha vyote adui alivyochua
Ndipo hayo mema yatakujilia
Atarejesha amani ya moyo na furaha ilipotea
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Anasema Njoo kwangu
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Nikurejeshe
Anasema Njoo kwangu
Nikurejeshe
No comments:
Post a Comment