Monday, October 7, 2024

KWAKO NASMAMA LYRICS BY DR .IPYANA FT .NYASHA NGOLOMA


Jesus
You are my fortress,
You are My strong tower,
No matter what I encounter, 
In you I remain victorious, 
Winning all battles, gloriously

Kwako Nasimama; a prophetic chant of victory.

1 comment:

Luke said...

Verse
Mawazo ya moyo wangu
Maneno ya kinywa changu
Yapate kibali mbele zako
Eh Bwana Mwokozi wangu

Verse
Mawazo ya moyo wangu
Maneno ya kinywa changu
Yapate kibali mbele zako
Eh Bwana Mwokozi wangu

Chorus
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu

Verse
Mawazo ya moyo wangu
Maneno ya kinywa changu
Yapate kibali mbele zako
Eh Bwana Mwokozi wangu

Verse
Mawazo ya moyo wangu
Maneno ya kinywa changu
Yapate kibali mbele zako
Eh Bwana Mwokozi wangu

Chorus
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu
Umwema, Umwema kwangu

Bridge
Kwako nasimama
Mimi ni mshindi
Nimeshinda vita zote
Kwa hiyo Neema Yako

O-o-o-o-o-o-o-o-o-h
Ninashinda Vita zote
Kwa hiyo neema yako

Kwako Ninavuka, Kwako Ninavuka
Kwako Ninavuka, Kwako Ninavuka