Malaika wakuabudu, Wewe wastahili
Maserafi na makerubi, Wakusujudu
Wastahili kuabudiwa, Wewe wastahili
Wastahili kusujudiwa, Wewe wastahili
Naungana na Malaika miguuni pako nikisema hakika wastahili
Naungana na Maserafi miguuni pako nikisema hakika wastahili
Wastahili, wastahili wastahili mwokozi
You are worthy
You are worthy
You are worthy Lamb of God
Wagiriire Wageriire,
Wagiriire Mwathani
No comments:
Post a Comment