Sunday, July 17, 2016

SALAMA LYRICS BY ABEDDY NGOSO


salama ,salama
oh ni salama, kwake yesu ni salama x2

napiga magoti leo,
nikileta mahitaji yangu kwako,
baba nisikie na unijibu,
maana sina mwingine,
wa kwenda nimuombe anibariki ,
ila ni wewe nakuomba baba jibu mahitaji yangu,

salama ,salama
oh ni salama, kwake yesu ni salama x2

wewe ni jehovah shamah,
unaelewa mapito yetu na uzima wetu kila siku,
oh ,tumekuja baba kusema,
husichukue muda mrefu kutubariki na baraka zako,
ndio maana tunasema,

salama ,salama
oh ni salama, kwake yesu ni salama x2

No comments: