Wednesday, November 13, 2013

NAINUA MACHO YANGU LYRICS (SWAHILI GOSPEL) BY ELKANT


Nainua macho yangu , nitazame milimani
Msaada wangu watoka wapi naamini watoka kwako yesu

chorus: 


Yesu wangu umeniponya roho yangu
Wewe kweli ni wa ajabu naamini watoka kwako yesu

No comments: