Wednesday, December 23, 2015

NI HERI LYRICS BY BENACHI

Verse 1
Kuna ye mmoja x2
Shida za dunia zimekupangawisha,
Hauna mbele wala nyuma,
Umtazamie nani ,kazi umetafuta,
Kila kona umeingia ,hongo umetoa ,
waganga umepitia,ila hujapata suluhisho,
(umejawa na mapigo oh )x2,
Mola ndiye pumziko,mpee mzigo,
Ndiye suluhisho oh oh,

(Refrain)
Ni heri kumtumaini mungu baba,
Ni heri kuliko fedha na waganga,x2



Verse 2
Umenifanya unavyotaka niwe ,
Ndio maana nakutumikia,
Nakutumainia baba,oh simanzi sina,
Machozi umeyapungua,
Machozi umenipanguzia mola wangu,
(Msaada wangu watoka wapi,
Tumaini langu nani ,ni mwogope nani,
Kama si wewe )x2

(Refrain)
Kuna ye mmoja x3

(Refrain)






No comments: