Verse 1
Alishasema alikiba ,mapenzi yanarun dunia,
Alisema msanii wa bongo mapenzi yanarun dunia,
Kama mapenzi yanarun dunia ,mbona willypaul naliax2
Alisema msanii wa bongo yanarun dunia,
mhn yanarun dunia ,mbona willypaul nalia
Mhn yanarun dunia ,mbona willypaul natukanwa,
Verse2
Sisi wote vipofu kwake jalali,
Lakini hajawahi tupoteza mama, msela,
Ati kuna propaganda tena mhn
Ati kuna propaganda tena inasambaa,
Ati hakuna upendo baina yetu wasanii,
Dj moh hampendi sadic ,sadic hampendi *moraya,
Tangu lini x2 yote ni uongo,
(Refrain)
Tupendane eh ,upendo ni freex4
Verse 3
Chuki huwanga sihisi kwa maombi yanaishi,
Nakumbuka ndugu yangu ,
mwenye madread na mpenda vicrazy,
(sina shida na bahati hey hey hey)x2
Tukipigana kila mara tunaangusha hekalu la bwana
Tutende mema aliye nyumbani apate tamaa ya kuokoka
(Refrain)
Verse 4
Na tukipendana tukipendana ,tukipendana
hatatuacha muhadhara,na hatatuacha muhadhara
atatupenda sisi ah ah,
(hatuacha muhadhara)x4
Tukipendana,coz hayo (ndio mapenzix3),
Na hayo( ndio mapenzi x3) ,
Ukimpenda mwenzio oh ,hayo ndio mapenzi,
Ukimpenda adui ah ,hayo ndio mapenzi,
Ukimpenda mbaya ah ,na hayo ndio mapenzi,
Husipomsengenya yule mwenzako ,hayo ndio mapenzi
Uu ndio mapenzi x3
hayo (ndio mapenzix3),(tupendane eh x2)
TRANSLATION
Verse 1
Alishasema Alikiba ,mapenzi yanarun dunia, (alikiba said love runs the word)
Alisema msanii wa bongo mapenzi yanarun dunia, (the bongo artist said love runs the world)
Kama mapenzi yanarun dunia , (and if love runs the world)
mbona willypaul naliax2 (why am i crying)
mbona willypaul naliax2 (why am i crying)
Alisema msanii wa bongo yanarun dunia, (the bongo artist said it runs the world)
mhn yanarun dunia , (mhn it runs the world)
mbona willypaul nalia (why am i crying)
mbona willypaul nalia (why am i crying)
Mhn yanarun dunia , (mhn it runs the world)
mbona willypaul natukanwa, (wh am i been abused)
mbona willypaul natukanwa, (wh am i been abused)
Verse2
Sisi wote vipofu kwake jalali, (we are all blind before God)
Lakini hajawahi tupoteza mama, msela, (but He has never misled us, my friend)
Ati kuna propaganda tena mhn (there are propagandas)
Ati kuna propaganda tena inasambaa, (there are propagandas which are spreading)
Ati hakuna upendo baina yetu wasanii, (that no love among us artists)
Dj Moh hampendi Sadic , (Dj Moh doen't love Sadic)
Sadic hampendi Moraya, (Sadic doesn'tlove Moraya)
Sadic hampendi Moraya, (Sadic doesn'tlove Moraya)
Tangu lini x2 yote ni uongo, (Since when,those are just lies)
(Refrain)
Tupendane eh ,upendo ni freex4 (lets love each other ,love is free)
Verse 3
Chuki huwanga sihisi kwa maombi yanaishi, (i don't feel hatred in prayers)
Nakumbuka ndugu yangu , ( i can remember my brother)
mwenye madread na mpenda vicrazy, (the one with dreads ,i love him crazly)
(sina shida na bahati hey hey hey)x2 ( i have no problem with Bahati)
Tukipigana kila mara tunaangusha hekalu la bwana (when we fight we disrespect God's temple)
Tutende mema aliye nyumbani apate tamaa ya kuokoka (lets don good so that many can be saved)
(Refrain)
Verse 4
Na tukipendana tukipendana ,tukipendana (and if we love one another)
hatatuacha muhadhara,na hatatuacha muhadhara (He will never lead us into problems)
atatupenda sisi ah ah, (He will love us too)
(hatuacha muhadhara)x4 (He will never lead us into problems)
Tukipendana,coz hayo (ndio mapenzix3), (we love one another because thats love)
Na hayo( ndio mapenzi x3) , ( because thats love)
Ukimpenda mwenzio oh ,hayo ndio mapenzi, (if you love your friend, thats love)
Ukimpenda adui ah ,hayo ndio mapenzi, (if you love your enemy, thats love)
Ukimpenda mbaya ah ,na hayo ndio mapenzi, (if you love a bad person, thats love)
Husipomsengenya yule mwenzako ,hayo ndio mapenzi (if you don't gossip your friend ,thats love)
Uu ndio mapenzi x3 (oh thats love)
hayo (ndio mapenzix3),(tupendane eh x2) (oh thats love lets love each other)
No comments:
Post a Comment