Saturday, March 12, 2016

TENDA WEMA LYRICS BY RINGTONE FT. CHRISTINA SHUSHO

KE-[B:Acme-Gfiv-Hp-Infi-Innj-Juae-Sams-Touc7-Wiko-Xtig,C:G.Phon.Mobi-G.Tabl.Tabl:728x90]]
(chorus)
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa ipo,
yeyeye atakulipa
tenda wema nenda zako we,
(husisahau mungu anaona),
siku ya kukumbukwa itafika,

verse1
mayatima umesomesha sana ,
wenye shida umesaidia wote,
wenye njaa umewapa chakula,
nguo zako umepeana zote,
hakuna anayetambua,
haya ambayo umetenda kwote,
sasa naona inakupa worry,
nakuomba we husijali,
aliyekuita anaona yote ,
utabarikiwa  na siku zote

(chorus)

verse 2
aliwaponya ,wagonjwa wao,
yesu huyo,akafufua wafu wao,
yesu huyo,mwisho wakamuita,pepo huyo
na tena wakamuita desivuri
wewe si wakwanza,
na hutakuwa wa mwisho,
yesu katukanwa,sembuse mwanadamu,

tenda wema nenda zako oh
husingoje shukrani eh x2

(chorus)

utawasomesha wajue kizungu wakutusi,
utawalisha ,washibe wakupige,

wewe tenda mema ,
wewe tenda mema tu,x2

(chorus)
2 comments:

dan njuguna said...

asante kwa lyrics.
verse 2 "wakamuita beelzebuli"

Benard Ounde said...

Verse tamusana