Sunday, August 21, 2016

NO MORE LYRICS BY MBUVInivute karibu nawe,natamani niwe nawe,
ah ah ah,karibu nawe,ni salama,baba ah,
nisijesahau nimpotoke,naye adui aje aniweke pingu zake,
nimechoshwa na mapenzi yaliyonivunja moyo,

oh ,i don't want no more,
to give up no more,

in your presence is fullness of joy,
at your right hand ,
i wanna be where you are dwelling daily,

bwana u sehemu yangu tena u fungu langu,
nimetambua ukiwa wangu ,sipungukiwi kitu,

oh ,i don't want no more,
to give up no more,

No comments: