Sunday, August 14, 2016

NJOO SASA LYRICS BY REUBEN KIGAME


nilikuumba unitukuze,uyafanye mapenzi yangu,
kabla kuzaliwa na mama yako ,nilikujua na kukupangia,
mambo mema maishani,kwa kuwa mimi ni mungu wako,
kwa nini wanitoroka,kana kwamba nimekukosea,
ae ae fungua macho,ona maisha yalivyo mafupi,
ae ae ukifa sasa,utaacha faida gani,
elimu mimi nimekupatia,ukaivunia kunikashifu,
pesa na mali nikakupa,ukavitumia kunidharau,
sura nzuri nilikuumba,ukaitumia kwa kujiuza,
mbona sasa wahangaika,maisha yako yameporomoka,
ae ae ninakuomba,unirudie nikusafishe,
ae ae ninakupenda ,me ni mungu wako ni wa rehema,

roho yako, eh naitaka sasa,
niitakaze,eh naitaka sasa,
akili yako eh naitaka sasa,
dhamira yako eh naitaka sasa,
niitumie eh naitaka sasa,
unitukuze eh naitaka sasa,
siku zote eh naitaka sasa,
mwili wako eh nautaka sasa,
niutakaze eh nautaka sasa,
njoo leo eh nakutaka sasa,
nikuokoe eh njoo sasa ah,
uliyeumia eh njoo sasa ah,
utapona eh njoo sasa ah,

(njoo sasa ,eh njoo sasa ah,)x2
nikaribie eh njoo sasa ah,
njoo sasa ,eh njoo sasa ah,
hujachelewa ,eh njoo sasa ah,x2
No comments: