Sunday, August 14, 2016

KUTEMBEA NA YESU LYRICS BY REUBEN KIGAME

si njia rahisi ,ya kwenda mbinguni,
miba mingi sana,si njia rahisi ,lakini ninaye,
mwokozi aliyenifia,

kutembea na yesu,uongoza safari,

si njia rahisi,mashaka ni mengi,

No comments: