Wednesday, August 31, 2016

MAJIBU LYRICS BY FLORENCE ANDENYI


nainua mikono yangu ,juu,
napasa sauti yangu eh,
nainua mikono yangu juu,
napasa sauti eh
sikia kilio changu baba,
sikia maombi yangu oh,
sikia kilio changu baba,
sikia maombi yangu oh,

majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu
majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu

eh kama ni kuomba nimeomba baba,
kama ni kufunga nimefunga sana,
siku ishirini na moja nikitafuta uso wako,
kwa mlima huu nikuone baba,
kwa mlima huu nakungoja yesu,
shusha utukufu wako nikuone leo,

majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu
majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu

kuna wale wanangoja,majibu ya fedha,
wengine wanangoja majibu ya huduma,
yule kijana anangoja karo ya shule,
fungua yesu ,wakuone leo,
fungua milango baba ah,
fungua milango,daddy eh,
umesema mwenyewe bisha utafunguliwa,
na tena ukasema omba utapewa ,
fungua milango baba ,yahweh,
fungua milango ,daddy ,oh,
fungua milango baba oh
fungua milango,yahweh eh,

majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu
majibu yako tu,ndo nangoja ,
baraka zako tu

No comments: