Sunday, January 1, 2017

HUYU YESU LYRICS BY MERCY MASIKA AND ANGEL BENERD [Verse 1]
Huyu yesu, si sanamu ,si mwanadamu adanganye eh
Ahadi zake, zote kweli na amina,nimemwona eh
Akisema ndio, hakuna wa kumpinga
Akikubariki, hakuna wa kunyang'anya
Akikuahidi, kwa wakati atimiza
Anavyokuita, ndivyo ulivyo

[Refrain]
Huyu yesu
Huyu yesu
Si hadithi
Mwambie x2

[Verse 2]
Umetangaziwa nini
Umetabiriwa nini
Maishani mwako, mwambie
Unaumizwa na nini
Je unahofu gani
Maishani mwako
Mwambie


Akisema ndio, hakuna wa kumpinga

Akikubariki, hakuna wa kunyang'anya

Akikuahidi, kwa wakati atimiza

Anavyokuita, ndivyo ulivyo


[Refrain]

Huyu yesu

Huyu yesu

Si hadithi

Mwambie x2


 [Refrain]

Huyu yesu

Huyu yesu

Si hadithi

Mwambie x6

No comments: