Refrain
Halleluyah(sifunix3)
bwana)x2
Akatuvuta
machozi( sifuni x3) bwana
ye ni mwamba salama (sifuni x3) bwana
Verse 1
Nikitazama
aa ooh matendo yako
baba umenitoa kwenye mavumbi
ukanifiga heshima machozi yote
ya uyatima ukayavuta ee baba
wewe ni baba wa yatima yeeesu
nakupenda.
Refrain
Verse 2
Nikikumbuka
aliponito-o-osa
nikikumbuka nilipokuwa nililia
usiku
mchana nikisubiri neema
yako ulikuja alfajiri mapema
ukanijaza
furaha yako-eeh
Refrain
Sifu
bwana afrika x6
refrain
No comments:
Post a Comment